strings.xml 15 KB

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131
  1. <?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?>
  2. <!--
  3. /*
  4. * Copyright (C) 2017 The Android Open Source Project
  5. *
  6. * Licensed under the Apache License, Version 2.0 (the "License");
  7. * you may not use this file except in compliance with the License.
  8. * You may obtain a copy of the License at
  9. *
  10. * http://www.apache.org/licenses/LICENSE-2.0
  11. *
  12. * Unless required by applicable law or agreed to in writing, software
  13. * distributed under the License is distributed on an "AS IS" BASIS,
  14. * WITHOUT WARRANTIES OR CONDITIONS OF ANY KIND, either express or implied.
  15. * See the License for the specific language governing permissions and
  16. * limitations under the License.
  17. */
  18. -->
  19. <resources xmlns:android="http://schemas.android.com/apk/res/android"
  20. xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2">
  21. <string name="recent_task_option_pin" msgid="7929860679018978258">"Bandika"</string>
  22. <string name="recent_task_option_freeform" msgid="48863056265284071">"Muundo huru"</string>
  23. <string name="recents_empty_message" msgid="7040467240571714191">"Hakuna vipengee vya hivi karibuni"</string>
  24. <string name="accessibility_app_usage_settings" msgid="6312864233673544149">"Mipangilio ya matumizi ya programu"</string>
  25. <string name="recents_clear_all" msgid="5328176793634888831">"Ondoa zote"</string>
  26. <string name="accessibility_recent_apps" msgid="4058661986695117371">"Programu za hivi karibuni"</string>
  27. <string name="task_view_closed" msgid="9170038230110856166">"Jukumu Limefungwa"</string>
  28. <string name="task_contents_description_with_remaining_time" msgid="4479688746574672685">"<xliff:g id="TASK_DESCRIPTION">%1$s</xliff:g>, <xliff:g id="REMAINING_TIME">%2$s</xliff:g>"</string>
  29. <string name="shorter_duration_less_than_one_minute" msgid="4722015666335015336">"&lt; dak 1"</string>
  30. <string name="time_left_for_app" msgid="3111996412933644358">"Umebakisha <xliff:g id="TIME">%1$s</xliff:g> leo"</string>
  31. <string name="title_app_suggestions" msgid="4185902664111965088">"Mapendekezo ya programu"</string>
  32. <string name="all_apps_prediction_tip" msgid="2672336544844936186">"Programu zako zinazopendekezwa"</string>
  33. <string name="hotseat_edu_title_migrate" msgid="306578144424489980">"Pata mapendekezo ya programu kwenye sehemu ya chini ya Skrini yako ya kwanza"</string>
  34. <string name="hotseat_edu_title_migrate_landscape" msgid="3633942953997845243">"Pata mapendekezo ya programu katika safu ya vipendwa ya Skrini yako ya kwanza"</string>
  35. <string name="hotseat_edu_message_migrate" msgid="8927179260533775320">"Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na ratiba zako. Programu zilizo kwenye sehemu ya chini zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza."</string>
  36. <string name="hotseat_edu_message_migrate_landscape" msgid="4248943380443387697">"Fikia kwa urahisi programu unazotumia sana moja kwa moja kwenye Skrini ya kwanza. Mapendekezo yatabadilika kulingana na utumiaji wako. Programu zilizo katika safu ya vipendwa zitahamishiwa kwenye Skrini yako ya kwanza."</string>
  37. <string name="hotseat_edu_accept" msgid="1611544083278999837">"Pata mapendekezo ya programu"</string>
  38. <string name="hotseat_edu_dismiss" msgid="2781161822780201689">"Hapana"</string>
  39. <string name="hotseat_prediction_settings" msgid="6246554993566070818">"Mipangilio"</string>
  40. <string name="hotseat_auto_enrolled" msgid="522100018967146807">"Programu zinazotumiwa zaidi huonekana hapa na hubadilika kulingana na ratiba"</string>
  41. <string name="hotseat_tip_no_empty_slots" msgid="1325212677738179185">"Buruta programu kutoka kwenye safu ya chini ili upate mapendekezo ya programu"</string>
  42. <string name="hotseat_tip_gaps_filled" msgid="3035673010274223538">"Mapendekezo ya programu yamewekwa kwenye nafasi isiyo na kitu"</string>
  43. <string name="hotsaet_tip_prediction_enabled" msgid="2233554377501347650">"Mapendekezo ya programu yamewashwa"</string>
  44. <string name="hotsaet_tip_prediction_disabled" msgid="1506426298884658491">"Umezima mapendekezo ya programu"</string>
  45. <string name="hotseat_prediction_content_description" msgid="4582028296938078419">"Programu iliyotabiriwa: <xliff:g id="TITLE">%1$s</xliff:g>"</string>
  46. <string name="gesture_tutorial_rotation_prompt_title" msgid="7537946781362766964">"Zungusha kifaa chako"</string>
  47. <string name="gesture_tutorial_rotation_prompt" msgid="1664493449851960691">"Tafadhali zungusha kifaa chako ili ukamilishe mafunzo ya usogezaji kwa kutumia ishara"</string>
  48. <string name="back_gesture_feedback_swipe_too_far_from_edge" msgid="4175100312909721217">"Hakikisha unatelezesha kidole kutoka ukingo wa kulia au kushoto kabisa"</string>
  49. <string name="back_gesture_feedback_cancelled" msgid="762621530959111290">"Hakikisha unatelezesha kidole kutoka ukingo wa kulia au kushoto hadi katikati ya skrini na uachilie"</string>
  50. <string name="back_gesture_feedback_complete_with_overview_follow_up" msgid="9176400654037014471">"Umejifunza jinsi ya kutelezesha kidole kuanzia kulia ili kurudi nyuma. Sasa jifunze jinsi ya kubadilisha programu."</string>
  51. <string name="back_gesture_feedback_complete_without_follow_up" msgid="197189945858268342">"Umeweka ishara ya kurudi nyuma"</string>
  52. <string name="back_gesture_feedback_swipe_in_nav_bar" msgid="9157480023651452969">"Hakikisha hutelezeshi kidole karibu sana na sehemu ya chini ya skrini"</string>
  53. <string name="back_gesture_tutorial_confirm_subtitle" msgid="5181305411668713250">"Kubadilisha hisi ya ishara ya nyuma, nenda kwenye Mipangilio"</string>
  54. <string name="back_gesture_intro_title" msgid="19551256430224428">"Telezesha kidole ili urudi nyuma"</string>
  55. <string name="back_gesture_intro_subtitle" msgid="7912576483031802797">"Ili urudi kwenye skrini iliyotangulia, telezesha kidole kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini."</string>
  56. <string name="back_gesture_spoken_intro_subtitle" msgid="2162043199263088592">"Ili urudi kwenye skrini iliyopita, telezesha vidole viwili kuanzia ukingo wa kushoto au wa kulia kuelekea katikati ya skrini."</string>
  57. <string name="back_gesture_tutorial_title" msgid="1944737946101059789">"Rudi nyuma"</string>
  58. <string name="back_gesture_tutorial_subtitle" msgid="6639993416000920142">"Telezesha kidole kutoka ukingo wa kushoto au kulia hadi katikati ya skrini"</string>
  59. <string name="home_gesture_feedback_swipe_too_far_from_edge" msgid="4816365433160895458">"Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini"</string>
  60. <string name="home_gesture_feedback_overview_detected" msgid="5177627157303895077">"Hakikisha husitishi kabla ya kuachilia"</string>
  61. <string name="home_gesture_feedback_wrong_swipe_direction" msgid="8328465201424027148">"Hakikisha unatelezesha kidole juu"</string>
  62. <string name="home_gesture_feedback_complete_with_follow_up" msgid="8766981412895888417">"Umeweka ishara ya kwenda kwenye Skrini ya kwanza. Inayofuata, jifunze jinsi ya kurudi nyuma."</string>
  63. <string name="home_gesture_feedback_complete_without_follow_up" msgid="2978063221383413443">"Umeweka ishara ya kwenda kwenye skrini ya kwanza"</string>
  64. <string name="home_gesture_intro_title" msgid="836590312858441830">"Telezesha kidole ili uende kwenye skrini ya kwanza"</string>
  65. <string name="home_gesture_intro_subtitle" msgid="2632238748497975326">"Telezesha kidole juu kuanzia chini ya skrini yako. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza."</string>
  66. <string name="home_gesture_spoken_intro_subtitle" msgid="1030987707382031750">"Telezesha vidole viwili kuelekea juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini. Ishara hii kila wakati hukupeleka kwenye Skrini ya kwanza."</string>
  67. <string name="home_gesture_tutorial_title" msgid="3126834347496917376">"Nenda kwenye ukurasa wa mwanzo"</string>
  68. <string name="home_gesture_tutorial_subtitle" msgid="7245995490408668778">"Telezesha kidole juu kutoka sehemu ya chini ya skrini yako"</string>
  69. <string name="home_gesture_tutorial_success" msgid="1736295017642244751">"Kazi nzuri!"</string>
  70. <string name="overview_gesture_feedback_swipe_too_far_from_edge" msgid="6402349235265407385">"Hakikisha unatelezesha kidole juu kuanzia ukingo wa chini wa skrini"</string>
  71. <string name="overview_gesture_feedback_home_detected" msgid="663432226180397138">"Jaribu kushikilia dirisha kwa muda mrefu kabla ya kuachilia"</string>
  72. <string name="overview_gesture_feedback_wrong_swipe_direction" msgid="1191055451018584958">"Hakikisha unatelezesha kidole juu, kisha usitishe"</string>
  73. <string name="overview_gesture_feedback_complete_with_follow_up" msgid="3544611727467765026">"Umejifunza jinsi ya kutumia ishara. Ili uzime ishara, nenda kwenye Mipangilio."</string>
  74. <string name="overview_gesture_feedback_complete_without_follow_up" msgid="2903050864432331629">"Umeweka ishara ya kubadilisha programu"</string>
  75. <string name="overview_gesture_intro_title" msgid="2902054412868489378">"Telezesha kidole ili ubadilishe programu"</string>
  76. <string name="overview_gesture_intro_subtitle" msgid="4968091015637850859">"Ili ubadili kati ya programu, telezesha kidole juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie."</string>
  77. <string name="overview_gesture_spoken_intro_subtitle" msgid="3853371838260201751">"Ili ubadilishe kati ya programu, telezesha vidole viwili kuelekea juu kuanzia sehemu ya chini ya skrini yako, ushikilie, kisha uachilie."</string>
  78. <string name="overview_gesture_tutorial_title" msgid="4125835002668708720">"Badilisha programu"</string>
  79. <string name="overview_gesture_tutorial_subtitle" msgid="5253549754058973071">"Telezesha kidole juu kutoka sehemu ya chini ya skrini yako, shikilia kisha uachilie"</string>
  80. <string name="overview_gesture_tutorial_success" msgid="1910267697807973076">"Hongera!"</string>
  81. <string name="gesture_tutorial_confirm_title" msgid="6201516182040074092">"Kila kitu kiko tayari"</string>
  82. <string name="gesture_tutorial_action_button_label" msgid="6249846312991332122">"Nimemaliza"</string>
  83. <string name="gesture_tutorial_action_button_label_settings" msgid="2923621047916486604">"Mipangilio"</string>
  84. <string name="gesture_tutorial_try_again" msgid="65962545858556697">"Jaribu tena"</string>
  85. <string name="gesture_tutorial_nice" msgid="2936275692616928280">"Safi!"</string>
  86. <string name="gesture_tutorial_step" msgid="1279786122817620968">"Mafunzo ya <xliff:g id="CURRENT">%1$d</xliff:g> kati ya <xliff:g id="TOTAL">%2$d</xliff:g>"</string>
  87. <string name="allset_title" msgid="5021126669778966707">"Tayari!"</string>
  88. <string name="allset_hint" msgid="459504134589971527">"Telezesha kidole juu ili uende kwenye skrini ya kwanza"</string>
  89. <string name="allset_button_hint" msgid="2395219947744706291">"Gusa kitufe cha ukurasa wa mwanzo ili uende kwenye skrini ya kwanza"</string>
  90. <string name="allset_description_generic" msgid="5385500062202019855">"Uko tayari kuanza kutumia <xliff:g id="DEVICE">%1$s</xliff:g>"</string>
  91. <string name="default_device_name" msgid="6660656727127422487">"kifaa"</string>
  92. <string name="allset_navigation_settings" msgid="4713404605961476027"><annotation id="link">"Mipangilio ya usogezaji kwenye mfumo"</annotation></string>
  93. <string name="action_share" msgid="2648470652637092375">"Shiriki"</string>
  94. <string name="action_screenshot" msgid="8171125848358142917">"Picha ya skrini"</string>
  95. <string name="action_split" msgid="2098009717623550676">"Iliyogawanywa"</string>
  96. <string name="toast_split_select_app" msgid="8464310533320556058">"Gusa programu nyingine ili utumie kipengele cha kugawa skrini"</string>
  97. <string name="toast_split_app_unsupported" msgid="2360229567007828914">"Chagua programu nyingine ili utumie hali ya kugawa skrini"</string>
  98. <string name="blocked_by_policy" msgid="2071401072261365546">"Kitendo hiki hakiruhusiwi na programu au shirika lako"</string>
  99. <string name="skip_tutorial_dialog_title" msgid="2725643161260038458">"Ungependa kuruka mafunzo ya usogezaji?"</string>
  100. <string name="skip_tutorial_dialog_subtitle" msgid="544063326241955662">"Utapata mafunzo haya baadaye katika programu ya <xliff:g id="NAME">%1$s</xliff:g>"</string>
  101. <string name="gesture_tutorial_action_button_label_cancel" msgid="3809842569351264108">"Ghairi"</string>
  102. <string name="gesture_tutorial_action_button_label_skip" msgid="394452764989751960">"Ruka"</string>
  103. <string name="accessibility_rotate_button" msgid="4771825231336502943">"Zungusha skrini"</string>
  104. <string name="taskbar_edu_a11y_title" msgid="5417986057866415355">"Elimu ya Upauzana"</string>
  105. <string name="taskbar_edu_splitscreen" msgid="5605512479258053350">"Buruta programu pembeni ili utumie programu 2 kwa wakati mmoja"</string>
  106. <string name="taskbar_edu_stashing" msgid="5645461372669217294">"Telezesha kidole juu taratibu ili ufungue Upauzana"</string>
  107. <string name="taskbar_edu_suggestions" msgid="8215044496435527982">"Pata mapendekezo ya programu kulingana na ratiba yako"</string>
  108. <string name="taskbar_edu_settings_persistent" msgid="1387372982791296151">"Washa usogezaji kwa kutumia ishara kwenye Mipangilio ili ufiche Upauzana kiotomatiki"</string>
  109. <string name="taskbar_edu_features" msgid="3320337287472848162">"Kamilisha mengi kwa kutumia Upauzana huu"</string>
  110. <string name="taskbar_edu_close" msgid="887022990168191073">"Funga"</string>
  111. <string name="taskbar_edu_done" msgid="6880178093977704569">"Imemaliza"</string>
  112. <string name="taskbar_button_home" msgid="2151398979630664652">"Mwanzo"</string>
  113. <string name="taskbar_button_a11y" msgid="5241161324875094465">"Ufikivu"</string>
  114. <string name="taskbar_button_back" msgid="8558862226461164514">"Nyuma"</string>
  115. <string name="taskbar_button_ime_switcher" msgid="1730244360907588541">"Kibadilishaji cha IME"</string>
  116. <string name="taskbar_button_recents" msgid="7273376136216613134">"Vilivyotumika majuzi"</string>
  117. <string name="taskbar_button_notifications" msgid="7471740351507357318">"Arifa"</string>
  118. <string name="taskbar_button_quick_settings" msgid="227662894293189391">"Mipangilio ya Haraka"</string>
  119. <string name="taskbar_a11y_title" msgid="6432169809852243110">"Upauzana"</string>
  120. <string name="taskbar_a11y_shown_title" msgid="6842833581088937713">"Upauzana umeonyeshwa"</string>
  121. <string name="taskbar_a11y_hidden_title" msgid="9154903639589659284">"Upauzana umefichwa"</string>
  122. <string name="taskbar_phone_a11y_title" msgid="4933360237131229395">"Sehemu ya viungo muhimu"</string>
  123. <string name="always_show_taskbar" msgid="3608801276107751229">"Onyesha Upauzana kila wakati"</string>
  124. <string name="change_navigation_mode" msgid="9088393078736808968">"Badilisha hali ya usogezaji"</string>
  125. <string name="taskbar_divider_a11y_title" msgid="6608690309720242080">"Kitenganishi cha Upauzana"</string>
  126. <string name="move_drop_target_top_or_left" msgid="2988702185049595807">"Sogeza juu/kushoto"</string>
  127. <string name="move_drop_target_bottom_or_right" msgid="5431393418797620162">"Sogeza chini/kulia"</string>
  128. <string name="quick_switch_overflow" msgid="6935266023013283353">"{count,plural, =1{Onyesha programu # zaidi.}other{Onyesha programu # zaidi.}}"</string>
  129. <string name="quick_switch_split_task" msgid="5598194724255333896">"<xliff:g id="APP_NAME_1">%1$s</xliff:g> na <xliff:g id="APP_NAME_2">%2$s</xliff:g>"</string>
  130. </resources>